Bukobawadau

Tunatoa hongera kwa mdau msomaji wetu Bi Hope Kasimbazi wa Makoko kwa kujifungua mtoto wa kike salama.

Mtoto Earline E.Makoko pichani , Bukobawadau tunamuombea kwa mwenyezii Mungu amjalie uzima na amkuze mtoto wa mdau wetu
Next Post Previous Post
Bukobawadau