Ufunguzi wa Kagasheki Cup ndani ya Uwanja wa Kaitaba Hamugembe waendeleza uteja kwa Bakoba na Kuchapwa 1-0.
Timu ya Bakoba maarufu kama 'mwanzo mwisho' waendeleza ubabe kwa Hamugembe na kuibuka kidedea kwa ushindi wa bao 1-0 mbele ya Mdhamini wa mashindano haya Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini ,WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki.
Pichani kutoka kushoto ni Katibu wa Chama cha mpira mkoa wa Kagera Ndg Chama Umande , Balozi Kagasheki na mwisho ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira Mkoa wa Kagera Ndg Jamal Malinzi. Zamani katibu mkuu wa Club ya Yanga.
Nasaha kutoka kwa Mh. Balozi Kagasheki.
Mashabiki wa Hamugembe wakifanya yao kabla mambo ayajawa mambo.
Kushoto ni Mdau Sued Juma Sued Kagasheki kiongozi wa Kata ya Rwamishenyi na kulia kwake ni Mdau E. Nyambo kiongozi wa timu ya Bakoba ambao ndio mabingwa watetezi wa Michuano hii