Bukobawadau

WADAU WAKICHECK NA CAMERA YETU PANDE ZA BEIJING

Anaonekana Mdau Mr Mtensa akicheck na Camera  wakati akiendelea na shughuli zake huko nchini China.

Katika ziara yake ya kibiashara Mr Mtensa yupo na Mdau mpambanaji ndugo Optaty Follo.Home boy wa Kisindi Bukoba.

Katikati ni Mdau Karoli mkazi wa Mutukula akiwa katika maemezi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau