AJALI MBAYA KIJIJINI RUTENGE KAMACHUMU HII LEO
RUTENGE KAMACHUMU :Roli aina ya tipa lapata ajali mbaya baada ya kugonga na bodaboda maarufu kwa jina Assecdo,ajali hiyo imetokea majira ya saa sita ,mtu mmoja dreva wa pikipiki amefariki dunia papo hapo na wengine 9 waliokuwa kwenye roli hilo kujeruhiwa vibaya.
Pikipiki iliyosababisha ajali baada ya kuinuliwa.
Picha zote kwa hisani ya msomaji wetu Sophia Yunusu akiwa Kamachumu.
Pikipiki iliyosababisha ajali baada ya kuinuliwa.
Picha zote kwa hisani ya msomaji wetu Sophia Yunusu akiwa Kamachumu.