BAADHI YA MADIWANI MANISPAA YA BUKOBA WAENDELEA KUTOKUWA NA IMANI NA MEYA WA MANISPAA.
Taarifa zinasema kuwa madiwani hao wameandika barua ambayo imewasilishwa kwa mkurugenzi wa sasa wa manispaa ya Bukoba, huku wakisaini orodha ya majina yao.
Inasemekana ni madiwani 15 wa manispaa hiyo kutoka vyamba Majina ya Madiwani hao kutoka CHADEMA ni Mch Mlaki(Kibeta) ,Dismas Lutagwelera(Rwamishenye) na Mama Mkono, wale wa CCM ni Deus Mtakyawa(Nyanga), Yusuph Ngaiza(Kahai), Richard Gasper(Miembeni), Mulungi Kichwabuta(viti maalum),Mzee Kalumuna, Mzee Rwangisa, Mzee Ngalinda, Robert Katunzi na wupande wa CUF ni Mh Bigambo wa Bakoba na Mh. Ibra Mabruck (Bilele) na Bi Rabia Viti maalum Baadhi ya madiwani pichani kushoto ni Diwani wa Nyanga Mh.Deus Mutakyawa.