Bukobawadau

HALI YA HEWA YA MJI WA BUKOBA ASUBUHI YA LEO


Asubuhi ya leo, muonekano wa hali ya hewa ni mvua kubwa ikiendelea kunyeshe kwa siku mfurulizo
Mzee mlemavu akijongea taratibu kuelekea msikitini .
Hali ya mvua ikiendelea
Muonekano Mtaa wa Migeyo.
 Mvua ni kali sana
Mitaa ya Mayawa maarufu kama kwa Kugis barabara ya Kashozi
Shughuli zikiendelea kama kawaida baada ya mvua kupungua


Next Post Previous Post
Bukobawadau