IBADA YA EID LEO VIWANJA VYA KASHAI MJINI BUKOBA
Sehemu ya waumini waliohudhuria ibada ya Eid siku ya leo Alhamisi
Ustadh Faraji akitoa neno
Upande wa akina mama ilikua hivi
Ustadh Athumani Akitoa Hutuba
Shekh akisikiliza neno
Sehem ya umati wa waumini waliohudhuria ibada hii
Wingu la mvua likitanda mara baada ya swala ya Eid
Shekh yazidi akiwa na familia yake mbele ya camera yetu
Sir.loom Inc nilikuepo
Maulamaa nao pia walikuwepo nyuma kabisa ni Shekh Mangi Saidi Mbele kabisa ni Ramadhani Kambuga (RMK)
Ramadhani Kambuga (RMK) wa kwanza, pembeni ni Yunusu Kambuga
Waumini wakiondoka mara baada ya swala ya Eid