Bukobawadau

KAGASHEKI CUP 2013 BAKOBA NA KITANDAGURO WATOSHANA MPAKA MWISHO 0-0

Mtanange safi ukiendelea ndani ya uwanja wa kaitaba.
Mashabiki wakifuatilia soka.

Umakini mdogo wa washambuliaji wa Kitendaguro umepelekea matokeo haya kwani walionyesha kumudu vyema vipindi vyote viwili kwa kasi ya mashambulizi
CREDIT FAUSTIN VIA  BUKOBA SPORTS.
Next Post Previous Post
Bukobawadau