Bukobawadau

KAULI YA JANUARY MAKAMBA

“mustakabali wa nchi hii bado utaendelea kuwa salama kwenye mikono ya chama cha mapinduzi (ccm), ukitazama kwenye uongozi wa vyama vya upinzani hakuna mtu hata mmoja ambaye anafanana na urais na ukiangalia kwenye wabunge wao hakuna mtu hata mmoja anaye fanana na uwaziri wala unaibu waziri. kile ni kikundi tu cha wanaharakati kwa hiyo sasa bado sisi tunayo fursa ya kuendelea kuongoza nchi hii”
Next Post Previous Post
Bukobawadau