Bukobawadau

Kwa walioko kwenye mahusiano

Kati ya changamoto kubwa kwa walioko katika mahusiano ni ukweli kwamba wengi huingia kwenye mahusiano wakiwa na nia ya kupata kitu fulani ndani ya mahusiano hayo. Tena wengine wanaingia wakiwa na matarajio makubwa na yaliyopitiliza “being overambitious”. Yamkini watu hawa wanaingia kwenye mahusiano wakitamani kumpata mtu wa kuwafanya wajisikie vizuri katika maisha. Ukweli ni kwamba njia pekee itakayokusaidia katika kuyafanya mahusiano yako yadumu ni pale utakapojifunza kuyaangalia mahusiano yako kama sehemu ambayo unaingia kwenda ‘kutoa’ (to give) na sio sehemu unayoenda ‘kuchukua’ (to take) 
Credit– Chris Mauki
Next Post Previous Post
Bukobawadau