Ndege yaanguka Ziwa manyara ikitokea Bukoba
Ndege moja ya shirika la tans air ,ikiendeshwa na Capt Kondo imeanguka ndani ya ziwa manyara ambapo watu wamenusurika na zoezi la kuwaokoa kutoka majini linaendelea
Abiria wote walikuwa wakitokea bukoba katika shughuli ya mazishi.
Adv Protas Ishengoma ni mmoja wa abiria hao