PITA PITA ZA HAPA NA PALE SIKUKUU YA IDD NDANI YA MJI WA BUKOBA!!
Mitaa ya fukweni mwa ziwa Victoria ikiwa imefurika watu wa rika zote kusheherekea sikukuu hii
Kila mdau na utaratibu wake katika kuakikisha siku kuu inakuwa salama kwake.Muonekano safi kando ya Ziwa letu, shukrani kubwa kwa Mama Matungwa ,Mkurugenzi The WALKGARD HOTEL kwa mchango mkubwa katika kuyatunza mazingira haya.
Watoto wakicheza ufukweni mwa ziwa Victoria
Pitapita za hapa na pale zikiendelea katika kukufikishia wewe mdau msomaji kile kinachostahili.
Muonekano wa ufukwe wa ziwa victoria
Maeneo ya Kiroyera Beach, soko la samaki
Watoto wakifurahia michezo ya kubembea maeneo ya kiroyera beach
Maeneo ya Spice Beach
Lilian akiwa na familia yake mitaa ya Spice Beach MOTEL.
Mitaa ya Rainbow Shop au Kwa Mama Hassan anaonekana kijana soma akicheck na Camera yetu
Mdau Sued Kagasheki anawatakia wadau Idd Mubarak kupitia bukobawadau BLOG.
Muda mchache baada ya Ibada ya Idd.
Nje ya Msikiti wa JAMIA msikiti mkubwa Mjni Bukoba , mwisho wa Ibada ya Idd.
Taswira mbalimbali matukio ya Idd Mosi Mjini Bukoba