Bukobawadau

TAARIFA ISIYO LASMI KUTOKA KIKAO CHA CCM KILICHOMALIZIKA HIVI PUNDE;

Ni kwamba hivi sasa ofisi za CCM Lumumba kunawaka moto kutokana na tamko la jana la nape la kubatilisha uamuzi wa NEC ya KAGERA ya kuwatimua madiwani 8.
Mangula na Msekwa wanasisitiza kuwa UAMUZI WA nec ya mkao ni halali na lazima maamuzi yaheshimiwe na kwamba TAMKO la nape halina baraka za Chama taifa
habari kamili zitakifia hapa hapa
CHANZO; JF
Next Post Previous Post
Bukobawadau