BAKOBA 0-1 KAGERA SUGAR NI MCHEZO WA KUJIPIMA NGUVU ULIOFANYIKA KAGERA 'A'
Kikosi kamili cha timu ya kata ya Bakoba maarufu kama 'mwanzo mwisho' kikiwa tayari kujipima ngumu na timu ya Kagera Sugar ndani ya uwanja wa Kagera A uliopo KIWANDANI.
Timu ya Kagera sugar wakipasha kabla ya mchezo
Wachezaji wa Kagera Sugar wakiendelea na mazoezi kabla ya mtanange kuanza.
Mlinda mlango wa timu ya Bakoba
Upande mwingine wakati mechi inaendelea kati ya Bakoba na t Kagera sugar,anaonekana Kaka Mkubwa akiendelea na story za hapa na pale.