TIMU YA KASHAI YAFUDHU HATUA YA NUSU FAINALI KWA KUIFUNGA KAGONDO 3-1
Shangwe za Wanyaluganda wa timu ya Kashai baada ya kufudhu hatua ya nusu fainali kwa kuifunga Kagondo 3-1
#Michuano ya Kagasheki CUP 2013
Wachezaji wa Kashai wakipasha uwanjani
Mashabiki wakifurahia soka
Mchezaji Yusuph Kikoti
Kwa matokeo hayo timu ya kashai itakutana na timu ya Rwamishenye katika hatua inayofuata.
Ni full vibweke uwanjani Kaitaba.
Mdau Moa Nyundo # team Kashai akicheck na Camera yetu uwanjani Kaitaba.