Bukobawadau

HONGERA MALKIA NA MFALME(MAHARUSI) BW. ALANUS KASHARABA & BI LEAH J. KAKOLE KWA HARUSI NZURI

Mfalme wa usiku wa leo bwana harusi Allan Kasharaba katika tabasamu pana na Malkia wake, Bi harusi Leah Kakole.
 Neno la shukrani kutoka kwa wazazi wa Bwana harusi
Anaonekana Mlezi mama Goronga furaha yake ikiwa wazi kabisa huku akisema'safi.!
Sehemu ya waalikwa ukumbini wakiperuzi  mtandao wa bukobawadau kwa simu zao na ipad.
 Anaonekana Dada Karunde (Mama Hashim) pichani.
Maharusi wakifuatilia kikundi cha burudani na bendi  Vikitumbuiza wakati huo shangwe za watu maarufu na matajiri  waliohudhuria zikiendelea ukumbini.
Ngoma ya kihaya ikitawala ukumbini wao wanasema 'Okute'
 Hakika ni furaha ukumbini.
Msanii Bahadi hapa akiwakirisha Mugango Group.
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa ndani ya ukumbi wa Shekinah Garden  uliopo Mbezi beach jijini Dar es Salaam kwa usiku wa jumamosi tarehe 28.9.2013
Maharusi wakielekea kupata huduma ya Chakula.
 Muonekano wa menu si mchezo.
Wageni waalikwa wakiendelea kupata huduma safi ya chakula.
Msosi ukiendelea
Wanaonekana Mr & Mrs Alex Tibaigana.
Makamu mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi Mr Ben Mulokozi  katika pozi.
Mr &Mrs Peter Mugisha.
Lily Gemela na Bi Rukia Goronga.
Moja kati ya picha yenye maudhui ndani , hapa ni mtu na shemeji yake Mdau Alex Tiba na Kevin Mishosho.
Mdau Abdulrazack Byabusha.
Ndugu wa Bwana harusi kutoka kushoto ni Mr &Mrs  Martin Kasharaba kulia ndg Titus Kaharaba.
Camera yetu ikiangaza katika meza ya wanandugu wa familia ya Kasharaba.
Mac Juve na Mdau Atugonza Kabugumila marafiki wakubwa wa Bwana harusi  wetu Ndg Alanus Kasharaba.
Camera yetu ikicheck na Wadau ,katikati ni Kijana Albin Muhazi na Aidan Kajoka ukipenda waweza kumuita 'Aidan Yatosha'
Erickson Lukambuzi  na Daudi Kibogoyo ni bukobawadau na wadau kupitia harusi ya Mdau Alanus Kasharaba.
Mambo flani kimjini ni Kijana Athony Kayunga.
Wakati utaratibu wa zawadi ukiendelea, kwa upande mwingine wadau wanafanya tadhimini.
Utaratibu na mpango mzima katika zawadi za kimila ukiendelea
Zawadi kutoka kwa Dada wa Bwana Harusi
Muonekano wa mapambo katika shughuli hii sio mchezo.
Mdau Michael akitoa neno kwa niaba ya marafiki wa Bwana Harusi na kiasi cha zawadi.
Marafiki wa Karibu na Bwana harusi
Ndugu John Kagolo ndiye mwenyekiti wa  kamati ya maandalizi ya harusi hii, na hapa anafanya kutanabahisha mtiririko wa siri ya mafanikio ya harusi hii , Jamaa huyu kweli anaswaga mwanzo mwisho..
Mr Ben Mulokozi aka mr appetizer akitoa neno kwa niaba ya Wanakamati
Malkia Bi Harusi akiwa na kicheko kwa maneno matamu, yasiyo na mgongano wala kukwaza   yenye kufurahisha, kuteta, kufunza,kuonya  na kuelimisha kutoka kwa Ben Mulokozi
Mambo hayo...
Mwishoni mwa shughuli wadau Mbalimbali walipata fursa ya kupiga picha na Malkia na Mfalme wa usiku huo.


BUKOBAWADAU BLOG TUNAPENDA KUTUMIA FURSA HII KUWAOMBA SAMAHANI NA KUWATAHADHALISHA WASOMAJI WETU KUWA WATU WASIOJULIKANA WAMEWEZA KUHACK ACCOUNT YA PAGE YETU KUPITIA FACEBOOK NA HIVYO WANAITUMIA NDIVYO SIVYO KWA KUWAPOTOSHA WATU ,ANGALIZO NI KWAMBA HABARI ILIYOPO INAYODAI KUNA FOUNDATION YA MIKOPO  ISIYO NA RIBA SIO SAHIHI KABISA NI MATAPELI WAKUBWA NA MPAKA SASA BADO IPO MIKONONI MWAO!!
Wadau wakiendelea kucheck na Camera yetu ndani ya Ukumbi wa Shekinah Garden.
MATUKIO MENGINEYO
Agaba na Ndg Fuady
Ndg Ben na Mr Matambula










Michael na Edgar
Muonekano wa kijana Edgar Mishosho
 Mama Fredy mama mdogo wa Bwana harusi akiwazawadi maharusi Kiwanja kilichopo Mjini Bukoba









SHUKRANI KWA KUWA NASI

Next Post Previous Post
Bukobawadau