Katibu Mkuu wa ccm,Ndugu Kinana awakuna wakazi wa kahama kwa hotuba yake,avuna wanachama zaidi
Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea kadi kutoka vyama vya upinzani baada ya wananchi wengi kuridhika na hotuba yake nzuri, katika mkutano huo zaidi ya wanachama 560 wamejiunga na CCM kutoka vyama vya upinzani.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kahama wakati mkutano wa hadhara uliofanika leo mjini Kahama
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye akiwa na mbunge wa Msalala Ezekiel Maige wakishiriki kucheza ngoma ya wakazi wa Isaka kabla ya kuhutubia kwenye mkutano wa Hadhara
Sehemu ya Umati uliofurika.wilayani Kahama