KIBAKA APIGWA KICHAPO CHA MBWA MWIZI BAADA YA KUDAKWA AKIDOKOA
NOTE;BUKOBAWADAU BLOG TUNAPENDA KUTUMIA FURSA HII KUWAOMBA SAMAHANI NA KUWATAHADHALISHA WASOMAJI WETU KUWA WATU WASIOJULIKANA WAMEWEZA KUHACK ACCOUNT YA PAGE YETU KUPITIA FACEBOOK NA HIVYO WANAITUMIA NDIVYO SIVYO KWA KUWAPOTOSHA WATU ,ANGALIZO NI KWAMBA HABARI ILIYOPO INAYODAI KUNA FOUNDATION YA MIKOPO ISIYO NA RIBA SIO SAHIHI KABISA NI MATAPELI WAKUBWA NA MPAKA SASA BADO IPO MIKONONI MWAO, TUMEFANYA KILA TUWEZALO TUMETANGAZI KUPITIA RADIO MBALIMBALI , KILICHO HAPA NI UZEMBE WA WATU KUSOMA COMMENT NA KUPENDA MTELEMKO.