Bukobawadau

Mkutano wa 6 wa Ujirani Mwema baina ya Nchi ya Tanzania na Burundi Wafanyika NGARA-KAGERA

Taswira ya Mkutano wa 6 wa Ujirani Mwema baina ya Nchi ya Tanzania na Burundi uliofanyika wilayani Ngara mkoani Kagera huku wito ukitolewa kwa Wataalamu wa kimataifa kutatua migogoro ya Kimipaka.
Ni Taswira katika Viwanja vya Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera ambapo (Septemba 02,2013)kulikuwa na tukio moja kubwa na la Kihistoria la Viongozi wandamizi na Wataalam wa Kada mbalimbali kutoka nchini Burundi na Tanzania ambao wamekutana kwenye mkutano wa Sita wa Ujirani Mwema kujadili changamoto za kimipaka baina ya nchi hizo kupitia wananchi wanaoingiliana kimataifa katika shughuli za uzalishaji mali.-
(Picha na Shaaban Ndyamukama-Ngara).
Next Post Previous Post
Bukobawadau