Bukobawadau

Mwanamke Mnigeria Akamatwa Na Madawa Airpot D

Mwanamke mmoja Raia wa Nigeria amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere Dar es Salaam akiwa na kete 96 za madawa ya kulevya. 

Akizungumza kwa njia ya simu na ITV Kamishina wa Polisi wa uwanja huo amesema tukio hilo limetokea leo mchana huubaada ya ukaguzi wa kina uliofanyika Uwanjani hapo.

Hata hivyo bado haijafahamika ni aina gani ya dawa hizo.
CHANZO ITV
Next Post Previous Post
Bukobawadau