BREAKING NEWS;Ufo Saro wa ITV apigwa Risasi
Rais Kikwete akiwa na Ufo Saro wa ITV
Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni mume mtarajiwa
wa Ufoo Saro Bw Mushi amempiga risasi mwandishi
wa habari wa ITV Ufoo Saro na kumjeruhi tumboni
huku akimuua mama mazazi wa Ufoo Saro na kisha
kujiua yeye mwenyewe kwa risasi huko maeneo ya
Kibamba.
Chanzo: Radio One
KWA HABARI ZA PAPO HAPO UNGANA NASI KWA KULIKE UKURASA wetu mpya wa facebook hapa; https://www.facebook.com/Bukobawadau