Bukobawadau

CHECK DAR LIVE ILIVYOZIZIMA KWA BURUDANI ZA EID

Ommy Dimpoz akikamua ndani ya Dar Live.
...Mashabiki wakipagawa na Dimpoz.

Joh Makini 'Mwamba wa Kaskazini' akilishambulia jukwaa la Dar Live.
Wanenguaji wa Twanga wakionesha manjonjo.
Mwamba wa Kigamboni, Bahati Chaz ‘Mr B’ akishusha mistari ya hip hop Dar Live.
Masai wa Kigoma akifanya makamuzi.
Baadhi ya mashabiki baada ya kupandisha mizuka.
Twanga wakikamua stejini.Mwanamuziki wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’ Rama Pentagon akikamua na bendi yake.
Mtaalam wa mazingaombwe, Profesa Calabash akiichoma moto fulana.
...Akiirudisha kama ilivyokuwa awali.
Msaidizi wa Profesa Kalabash akionesha glasi kabla ya kuizamisha kichwani kwa mtoto aliye kulia.
...Glasi ikiwa kichwani.
...Glasi imezama kichwani.
...Mtoto akishangaa baada ya glasi kuzama kichwani.
Watoto wakifurahia michezo ndani ya Dar Live.
...Watoto wakijiachia kwenye bembea.
...Hawa wakiserereka.
Bembea la mzani.
Watotio wakiingia kwenye ndege ya Dar Live.
(PICHA: RICHARD BUKOS NA MUSA MATEJA / GPL)
Next Post Previous Post
Bukobawadau