GARI LA AZAM LIKIWA NA SHEHENA YA NGANO LIMEPINDUKA MJINI BUKOBA
Ndugu wadau hali hii inasikitisha, hivi ndivyo watu wanavyojaribu kutumia magongo ya miti katika zoezi zima la uokoa wa maisha ya mmoja wa raia anayeendelea kutahabika baada ya kupindukiwa na gari
Ni ajali ya Gari lililobeba shehena ya ngano liliopinduka maeneo ya Migera ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba,ni gari lenye nambari T893 BPZ mali ya kampuni ya AZAM,uwenda watu kadhaa wakapoteza maisha kufuatia zoezi zima la uokoaji linavyo endelea kwa vifaa duni sana.
Mkusanyiko wa watu eneo la tukio
Muonekano wa shehena ya ngano.
Harakati za uokoaji zikiendelea.ambayo dreva wa gari hili na utingo wake imedhibitishwa wamepoteza maisha.
Mpaka tunatoka eneo la tukio ni watu wawili imedhibitishwa wamepoteza maisha, na jitiada za uokoaji zinaendelea.

MDAU MSOMAJI WETU TUNAOMBA UJIUNGE NASI KWA KU LIKE TU, UKURASA WETU MPYA WA FACEBOOK KUPITA LINK HII KWA HABARI ZA PAPO KWA PAPO GONGA: https://www.facebook.com/Bukobawadau