Bukobawadau

HIVI NDIVYO WANACHAMA WA BUKOBA VETERANS WALIVYO TOA POLE KWA MWENZAO NDUGU MTENSA LEONARD KUFUATIA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI

Muda mchache baada ya kuwasili masikani kwa mwenzao maeneo ya kyakailabwa umbali wa km 2 nje ya mji wa Bukoba.














 Anaonekana Brother Shebby.
 Ndg Sued Juma Sued Kagasheki



Sehemu ya wanabukoba veterans.
Mdau Mtensa akipoke kitita cha rambirambi kutoka kwa mwenyekiti wa Bukoba Veterans.






Wanachama wakipata kifungua kinywa kwanza.


Muda wa pole kwa  mama yake Mtensa ukawadia.






 Pole kwa mama yetu, mama mzazi wa Mdau Mtensa
 Super Self Mkude akitoa mkono wa pole.



Mikao mbalimbali ya Mdau Al Amin Abdul amin

Kisimple simple anaonekana Kaka Mtensa Leonard pichani kushoto
TIMU NZIMA YA BUKOBAWADAU TUNAUNGANA NA WENZETU KATIKA KUTOA POLE KWA NDUGU JAMAA WA FAMILIA HII

Next Post Previous Post
Bukobawadau