JUHUDI ZA USAFI ZA MH.MASSAWE ZAGONGA MWAMBA HUKO MUTUKULA
Licha ya kampeini ya usafi Mkoani kagera maarufu kama Masawe Day .Sokoni Mutukula juhudi hizo zimegonga mwamba .Hii inatokana na uroho. na ubinafsi miongoni mwa Viongozi wa Halmashauri ya. Misenyi.Choo ya soko iliyojengwa kwa kodi ya watanzania imefungwa kwa siku nyingi na wafanyabiashara wanajisaidia hovyo. Vinyesi vya binadamu vimetapakaa katika vichochoro vlivyozunguka soko hili. Swali ni je fedha ya ushuru wa magari wanayotozwa wamiliki wa magari ina tija ipi? Kuna sababu ipi Bwana Afya kumtoza mwenye kibanda cha biashara faini isitopungua 50000/ fedha yakitanzania eti kwa sababu nyuma ya banda lake asubuhi pamekutwa ukuta umekojolewa na watu asiowajua?je kuna haja gani ya kuwa na choo iliyofungwa eti kisa iliziba! Mhandisi wa halmashauri. anafahamu. hill? Fumbuka!
Jiunge na ukurasa wetu wa facebook kwa ku like link hii https://www.facebook.com/Bukobawadau?ref=hl
Jiunge na ukurasa wetu wa facebook kwa ku like link hii https://www.facebook.com/Bukobawadau?ref=hl