MABADILIKO YA HELA ZA KITANZANIA KUTOKA MAKTABA YA BUKOBAWADAU
Hivi ndivyo hela za kitanzania zilivyoweza kupitia mabadiliko mbalimbali
Pichani ni baadhi ya noti zilizowahi kutumika nchini tanzania
Thamani ya hela ipo katika kununua tu, Sio inavyoonekana.
Kwa kihaya mabadiliko haya yalikwenda sambamba na majina kama Ensimbi!Ekyapa, Empia, Amaela, Olupapulo, Enoti, ( Eshumuni, Ekibada, Ekyebisho)
CREDIT; Kagera Museum
VIA Kiroyera tours.