MTOTO ANUSURIKA KIFO KWA KULIPUKIWA NA BOMU-NGARA
Mtoto mmoja mkaziwa kijiji cha Mumiramila Kata kata ya Bugarama wilaya ya Ngara mkoani Kagera amenusurika kifo na baada ya kulipukiwa na bomu.
Mtoto huyo amejeruhiwa sehemu mbalimbalizamwili wake na amelazwa katika Hospitali ya misheni Rulenge wilayani humo kwaajili ya matibabu.
Mganga wazamu wa hospitali ya Rulenge Bi.Hilda Kagaruki amemtaja mtoto huyo kuwa ni Wema Kigenda (12) ambaye alijeruhiwa na bomu hilo lililomkata miguu miwili na kumtoboa tumbo nakupelekea utumbo wa ndani kutoka nje na kupoteza damu nyingi
Bi.Kagaruki amesema majeruhi huyo alifikishwa Hospitalini hapo Oktoba 11,2013 majira ya saa 11 jioni.