Bukobawadau

SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU. KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA NA WIKI YA VIJANA IRINGA

 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiingia uwanja wa Samora huku akishangiliwa na  mamia ya wananchi wa Iringa waliojitokeza katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana siku ya Jumatatu Oktoba 14, 2013
 Rais Kikwete akiwasili katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana siku ya Jumatatu Oktoba 14, 2013
 Rais Kikwete akisalimiana na Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto wa Zanzibar Mhe Zainab Omar Mohamed. Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara
 Rais Kikwete akisalimiana na Naibu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula
 Sehemu ya umati wa wana Iringa
 Sare za sherehe zilipendeza kila mtu
 Ujumbe wa wadau wa Iringa
 Mabalozi wa nchi mbalimbali walialikwa
 Mabalozi wa nchi mbalimbali
 Meza kuu
 Halaiki ya watoto wa shule mbalimbali za msingi za Iringa

 Rais Kikwete akiupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio zake Bw.Juma Ali Simai
  Rais Kikwete akimpongeza  kiongozi wa mbio zake Bw.Juma Ali Simai baada ya kukabidhiwa risala za kila wilaya mwenge huo ulipoita mwaka huu
 Rais Kikwete akihutubia wananchi
 Hotuba ikiendelea
 Rais Kikwete akimpa zawadi Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt Ishengoma kwa kufanikisha sherehe hizo
 Rais Kikwete akiwa na Mwenge wa Uhuru katika picha ya pamoja na mashujaa walioukimbiza nchi nzima
 Rais Kikwete akiwa na wabunge Mhe Chiku Abwao na Mchungaji Peter Msigwa katika sherehe hizo
 Rais Kikwete akisalimiana na Wakuu wa Wilaya
 Mama Salma Kikwete na Spika Anne Makinda wakiwapongeza vijana waliokimbiza mwenge mwaka huu
 Rais Kikwete akiwapongeza vijana wa halaiki kwa kazi nzuri
Mama Salma Kikwete anajiunga na Rais Kikwete kuwapongeza vijana wa halaiki
 Msanii IT kutoka Zanzibar akitumbuiza
 Rais Kikwete akipokea CD toka kwa Msanii IT toka Zanzibar
 Vijana wa kwaya ya JKT Makutopora wakitumbuiza
 Vijana wakiigiza matokeo ya athari za UKIMWI
 Sehemu ya maelfu ya wananchi waliohudhuria sherehe hizo
 Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto wa Zanzibar Mhe Zainab Omar Mohamed akihutubia
 Viongozi wa dini
 Rais Kikwete akimpongeza kwa hotuba nzuri Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto wa Zanzibar Mhe Zainab Omar Mohamed
 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akisoma risala ya ufunguzi
 Mwalimu wa halaiki na vijana wake
 Wakimbiza Mwenge wakiwa tayari kuukabidhi
 Wakimbiza Mwenge wakisonga mbele kwa ukakamavu
 Rais Kikwete akitoa hati kwa wakimbia mwenge wa mwaka huu
 Hongera sana kijana
 Kazi nzuri kijana
 Safi sana Luteni...
 Kinadada wakiwezeshwa wanaweza ati...
 Hongera kwa kuongoza mbio za mwenge vyema
 Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2013, Bw. Juma Ali Simai akisoma risala kabla ya kuukabidhi Mwenge kwa Rais Kikwete
 Rais Kikwete akipokea Mwenge wa Uhuru toka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2013, Bw. Juma Ali Simai
 Rais Kikwete akiwa ameshuka Mwenge wa Uhuru baada ya kukabidhiwa rasmi
 Rais Kikwete akiwa na waandaaji wa sherehe hizo Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto wa Zanzibar Mhe Zainab Omar Mohamed (kushoto) na  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na michezo Tanzania Bara Dkt Fenella Mukangara
 Kiongozin wa mbio za mwenge akisoma risala
 Ujumbe wa Mbio za Mwenge mwaka huu
 Mwenge wa Uhuru
 Rais Kikwete akipokea risala toka kila wilaya Mwenge wa Uhuru ulipokimbizwa
 Baada ya kumaliza kazi wakimbiza mwenge wakishangiliwa
 Burudani ya ngoma ya Mganda
 Rais Kikwete akielekea jukwaa kuu

 Fundi mitambo akiwa kazini
 Wanahabari wa Iringa wakirekodi hotuba ya Rais Kikwete
 Umati ukisikiliza hotuba ya Rais Kikwete
 Rais Kikwete akiendelea kuhutubia
 Sehemu ya viongozi wa taasisi mbalimbali
 Zifuatazo ni taswira za viongozi wa taasisi mbalimbali wakipokea zawadi za vikombe na hati
 Mkuu wa mkoa wa Iringa akipokea kikombe na hati kwa kufanikisha sherehe hizio
 Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema akielekea kupokea zawadi ya wilaya yake
 Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema akipokea zawadi ya wilaya yake
 Hongereni sana
 Hongera
 Pokea zawadi hii
 Washindi wakipokea mfano wa hundi
 Kiongozi toka Zanzibar akipokea zawadi
 Hundi kwa Zanzibar
 Mshindi wa jumla
Rais Kikwete akimpongeza Bw. Salim Abri kwa kuwa mmoja wa wafadhili wa shughuli hiyo
 Hongera na asante kwa kufanikisha sherehe
 Rais Kikwete akimshukuru Mama Lillian Mashaka wa PCCB








 Rais Kikwete akiwa na Mwenge wa Uhuru
 Picha na wakimbiza mwenge
 Picha na washindi wa shughuli za mbio za mwenge wa uhuru
 Picha na kamati iliyoandaa sherehe hizi
 Picha na viongozi wa taasisi mbalimbali waliofaniisha sherehe hizi
 Picha na viongozi wa dini
 Rais Kikwete akiwashukuru viongozi wa dini kwa kujumuika katika sherehe hizi
 Picha na mabalozi wa nchi mbalimbali waliohudhuria
 Picha ya kumbukumbu
 Rais Kiukwete na Spika Anne Makinda wakiwa na Mhe Jestina Mhagama, Mhe Peter Msigwa, Mhe Chiku Abwao na Profesa Msolwa na viongozi wengine
 Mhe Peter Msigwa na Mhe Chiku Abwao wakijumuika na viongozi wengine
 Picha ya pamoja na wabunge
 Rais Kikwete akipozi na Wakuu wa Wilaya
 Rais Kikwete akisalimiana na wakuu wa Wilaya
 Mama Salma Kikwete na Spika Anne Makinda wakiwapongeza wakimbiza mwenge
 Vijana mmetia fora kwa halaiki nzuri.....
 Safi sana vijana...
 Rais Kikwete akisalimiana na vijana wa halaiki
 Kanzi nzuri sana vijana....
 Rais Kikwete akipozi na waalimu wa halaiki
Next Post Previous Post
Bukobawadau