TASWIRA MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE ALIPOTEMBELEA VIBANDA VYA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA, IRINGA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Utamaduni Profesa Mwansoko wakati anawasili katika viwanja vya maonesho ya Wiki ya Vijana uwanja wa Mlandege, Iringa
Rais Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni. Kushoto ni Mama Salma Kikwete na kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni
Banda la Mwalimu Nyerere Foundation
Katika banda la Mwalimu Nyerere Foundation
Spika Anne Makinda akiongea na mmoja wa vijana kwenye banda lao
Banda la bodi ya Filamu
Rais Kikwete akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na vijana
Banda la TAMAVITA
Banda la vijana toka Zanzibar
Rais Kikwete akiangalia bidhaa za vijana toka Zanzibar
Vijana wa Zanzibar wakitoa maelezo ya kazi zao
Vijana wakisalimiana na Rais kwenye banda lao
Banda la Forum Syd
Banda la AMREF
Banda mojawapo la vijana
Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
Rais akisalimiana na vijana wajasiriamali wa Iringa
Banda la Kilolo
Kijana Kenneth Mwangoka kutoka Nyololo akiwa na gari lake la miti
Rais Kikwete akisalimiana na kijana Kenneth Mwangoka
Rais Kikwete akiangalia gari la miti
Chuo Kikuu cha Mkwawa
Vijana katika kuhamasisha jamii dhidi ya VVU na Ukimwi
Vijana wa Chuo Kikuu cha Ruaha wanafurahi kutembelewa na Rais Kikwete bandani kwao
Chuo Kikuu cha Iringa
Maelezo toka kwa vijana wa Chuo Kikuu cha Iringa
Vijana wanaotengeneza dawa za asili
Wadau wa NMB tawi la Mkwawa wakisubiri mgeni awatembelee
Vijana wakitoa maelezo
Vijana wa NMB tawi la Mkwawa wakimsalimia Rais Kikwete
Vijana wa Exim Bank wakifurahia ugeni huo
Banda la TRA
Banda la vijana wa dini mbalimbali
Vijana wakifurahia ujio wa Rais Kikwete
Wajasiriamali vijana wa Iringa wakisalimiana na Rais Kikwete
Rais akisalimiana na wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Iringa
Spika Anne Makinda akisalimiana na wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Iringa
Vijana wakimpokea Rais
Banda la Femina
Vijana wajasiriamali wakimsalimia mgeni
Banda la JAFAKU group
Vijana wakionesha kazi zao
Banda la VETA
Karibu mgeni
Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa za wajasiriamali
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa wa LAPF, Bw. Eliud Sanga
Rais Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa wa LAPF, Bw. Eliud Sanga
Wajasiriamali wakimkaribisha mgeni
Mama Salma Kikwete katika banda la vijana wahamashishaji jamii
Mama Kikwete katika banda la vijana wajasiriamali
Karibu kwetu Mheshimiwa....
Vijana wajasiriamali wafurahia ujio wa Rais Kikwete bandani kwao
Rais Kikwete na Spika Anne Makinda katika banda la YARRA wakijadili umuhimu wa pembejeo
Rais Kikwete akinunua kitabu katika banda la wajasiriamali wa elimu
Kijana akimkaribisha mgeni kwenye banda la nishati jua
Vijana wakionesha dawa za asili wanazotengeneza
Mama Kikwete akitembelea banda la dawa za asili
Mama Kikwete akitembelea banda la VODACOM anakopata maelezo ya Mpesa
Rais Kikwete akisalimiana na vijana wa VODACOM
Rais Kikwete akipata maelezo ya vijana wa AURIC AIR
Banda la TTCL
Banda la wajasiriamali toka mkoa wa Njombe
Banda la vijana wajasiriamali
Rais Kikwete akijaribu kofia katika banda la vijana wa Iringa
Banda la bidhaa za nyuki na zabibu toka Dodoma
Mama Kikwete na vijana wajasiriamali katika bidhaa za nyuki
Kofia kwa mgeni
Hongereni sana kwa kazi nzuri....
Vijana toka Ngara
vijana wa Geita
Mama Kikwete kwenye banda la Geita
Rais Kikwete na Spika Anne Makinda katika banda la Lindi
Bidhaa kila aina zilikuwepo
Vijana wakimsalimia mgeni
Banda la Chemi Cotex
Banda la TANAPA
Vijana wa Iringa na utalii wa ndani
Vijana wa Ruaha Hilltop
Banda la maonesho la wanyama hai
Banda la Maji Iringa
Banda la Jeshi la Polisi Iringa
Banda la Polisi Iringa
Karibu tena afande....
Vijana wa PCCB wakimlaki mgeni
Banda la PCCB
Banda la UHAMIAJI
Mama Salma Kikwete katika banda la UHURU na MZALENDO
Rais Kikwete akikaribishwa katika banda la UHURU na MZALENDO na msimamizi wa banda Bakari Mkhondo
Akiangalia picha mbalimbali za kumbukumbu ya Baba wa Taifa
Rais Kikwete akifurahia moja ya picha zinazomuomnesha akiwa na Mwalimu