Balozi wa Tanzania Nchini Marekani akutana na Watanzania Waishio Minnesota
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani, Mrs Liberata Mulamula na Mume wake George Mulamula Jumapili iliyopita alikutana na Watanzania wanaokaa Marekani Katika Jimbo la Minnesota.
The Baliras. The Baitanis & Ambassador Mulamula
Ni balozi anayetoka ushirikiano mkubwa sana na kujali maisha na mipango ya watanzania wenzake waliyonayo hasa katika kuendeleza nyumbani tutokapo.
zifuatazo ni sehemu ya picha atika hafa hiyo.
Balozi Mulamula Perming with Smart in MinnesotaThe Baliras. The Baitanis & Ambassador Mulamula