BK TOWN,KASHABO,KATOMA,NYAKANYAZI,RWAMISHENYE NA CAMERA YETU LEO IJUMAA NOV 22,2013
Muonekano wa uwanja wa ndege mjini bukoba leo.
Sehemu ya uwanja iliyokwanguliwa ikiwa bado kuwekewa rami, hayo majengo pichani ni mali ya KCU (1990)LTD
Hali halisi ni kwamba, kuna kipande takribani mita kadhaa ambacho akijakamilika kwa kutokuwekewa rami.
Wilaya ya Bukoba vijijini hii ni barabara ya Katoma
Ndani ya kata ya Rwamisheni, hapa ni masikani kwav mdau Hakim Kichwabuta
Mitaa ya Kashabo kwa ndani
Mitaa ya Soko kuu mjini hapa.
Barabara ya Kashozi
Mvuto namna ukijani ulivyotawala.
Kanisa la KKKT Bukoba.
Uwanja wa Uhuru.
Shule ya Msingi Tumaini.
Kanisa la PAG Bukoba lililopo Majengo mapya.
Sehemu ya uwanja iliyokwanguliwa ikiwa bado kuwekewa rami, hayo majengo pichani ni mali ya KCU (1990)LTD
Hali halisi ni kwamba, kuna kipande takribani mita kadhaa ambacho akijakamilika kwa kutokuwekewa rami.
Wilaya ya Bukoba vijijini hii ni barabara ya Katoma
Camera yetu ikikuangazia pande za katoka.
Kizazi hadi kizazi hii ni baiskeli aina ya phonex toka mwaka 1908 mpaka sasa ipo barabara.
Majengo yanazidi kusogea kati ya Bukoba mjini na Katoma hakika inapendeza
Kyakailabwa.
Ndani ya kata ya Rwamisheni, hapa ni masikani kwav mdau Hakim Kichwabuta
Hekaheka za hapa na pale zikiendelea mapema ya leo Rwamishenye.
Nyakanyazi darajani
Mitaa ya Soko kuu mjini hapa.
Barabara ya Kashozi
Mvuto namna ukijani ulivyotawala.
Kanisa la KKKT Bukoba.
Uwanja wa Uhuru.
Shule ya Msingi Tumaini.
Kanisa la PAG Bukoba lililopo Majengo mapya.