Bukobawadau

CAMERA YETU MJINI BUKOBA LEO NOV 21,2013

 Haya ni maeneo ya Kyabitembe yaliyopo ndani ya Manispaa ya mji wa Bukoba
 Ujenzi ukiwa unaendelea kwa kasi  maeneo haya ya Kyabitembe.
 Masikati kwa Kijana  mpambanaji  Ndg Luganuza.
Asubuhi ya leo  ndani ya Mghahawa  maarufu wa Dollas,pichani wanaonekana wadau Luganuza kushoto na Taimuli (Karama shop) wakipata breakfast
 Anaitwa Hafidh Karugira (Njurukumbi) pichani akipata breakfast ndani ya mghahawa wa Dollas.
Barabara ya Nkurumah  maeneo Uswahilini Bilele kuelekea Nyakanyasi
 Taswira milima ya Kibeta kwa mbali.
 Ni  Bukobawadau blog ikikuangazia taswira mbalimbali za mji wa Bukoba,hapa ni mitaa uswahilini Bilele kuelekea Nyakanyasi
 Mitaa ya uswahili anaonekana Bi Zainabu Lugusha akimsikiliza mjomba wake.
Kijana Mtensa Jr akicheck na camera yetu.
Majengo ya Shule ya waichana ya Kajumulo
 Jengo la Mahakama kwa mbali, hii ni barabara ya Uganda kuelekea bandarini.
 Arpartment hizi zinakodishwa zipo maeneo ya Kibeta  barabara kuu iendayo Muleba.
 Hakika baadhi ya maeneo mjini hapa yanalidhisha kwa Usafi.
 Hekaheka za hapa na pale katika barabara ya Uganda maeneo ya hospital kuu ya Mkoa.
 Ukumbi wa Red Cross Bukoba.
 Camera yetu ikiangaza mitaa ya NHC  Majengo mapya,ndani ya Makondeko Bar. 
Mdau Thomas Charse kama alivyokutwa na Camera yetu ndani ya Makondeko Bar.
Mdau Sengo pichani kushoto akiteta jambo na mdau mwenzake.
Next Post Previous Post
Bukobawadau