DR.JOSE CHAMELEONE BADILISHA CONCERT IN MWANZA
Msanii kutoka nchini Uganda Jose Chameleone kui 'badilisha' Mwanza siku ya mkesha ya Xmass
Ni Msanii mkubwa wa Africa Jose Chameleone atafanya show hiyo ndani ya uwanja wa CCM Kilumba jijini Mwanza,
Msanii maarufu wa kimataifa Jose Chameleone akisaini mkataba chini ya Mkurugenzi wa New Coffee Hotel Bukoba Ndg Dennis, kwa ajili ya kukisanua siku ya mkesha wa X-mas Decembar 24,2013 jijini Mwanza,wakati wakristo duniani kote wakisubiri kusherehekea birthday ya Yesu.
Mkurugenzi wa New Coffee Hotel Ndg Dennis, pichani kushoto akipongezana na Msanii Jose Chameleone mara baada ya kusaini mkataba , tayari kuwashushia burudani wakazi wa Mwanza mwanza.
Hii siyakukosa ,kazi kwenu wana wa Rock City!!!