Bukobawadau

KAMA UKUONA MAPOKEZI YA HAJI MURSHID IBRAHIM MDAU WA ROSE CAFE CHECK HAPA

 Iktokea jijini Dar es Salaam Ndege ya Shirika La Ndege La Precision Air ikiwasili katika uwanja wa Manispaa ya Mji wa Bukoba.
 Wanaonekana wenye nyuso za furaha ndg na jamaa wa karibu waliofika uwanjani hapa kumlaki Haji Mrishid.
Hakika watu ni wengi kweli kweli

Wadau mbalimbali wakimlaki Haji Mrishid  Ibrahim kwa shangwe.
Haji Murshid Ibrahim akisalimiana na wadau waliofika kumpokea 



 Bukobawadau blog tunatumia fursa hii kukupongeza  kwa kutimiza Ibada hii ya Hija mojawapo ya nguzo tano zinazoisimamisha dini ya Kiislamu
Bi Afsa ambaye ni mke wa Haji Mrishid akiwa mwenye furaha.
Bwana Ramadhani Kambuga mratibu wa mpakezi hayo
Matukio zaidi na habari za papo hapo jiunge nasi kwa kulike ukurasa wetu wa facebook hapahttps://www.facebook.com/Bukobawadau?ref=hl
 Muda mchache kabla ya kuelekea uwanja wa Ndege, wadau walikutana katika viwanja vya Gymkhana.

Next Post Previous Post
Bukobawadau