PAPII KOCHA NA BABU SEYE KUENDELEA KUSOTA JELA
Mahakama kuu imetupilia mbali hoja zote zilizokua zikipinga hukumu dhidi ya mwanamziki Nguli Babu na mwanae na kuamuru aendelee kutumikia kifungo cha maisha jela kama ilivokuwa imeamriwa awali na mahakama hiyo.
Hukumu hiyo imekuwa mwiba mchungu wenye Sumu kwa mashabiki wa wanamziki hao waliokuwa wanategemea wasanii hao wataachiwa huru au kuwapunguzia adhabu ya kifungo cha maisha jela
Hukumu hiyo imekuwa mwiba mchungu wenye Sumu kwa mashabiki wa wanamziki hao waliokuwa wanategemea wasanii hao wataachiwa huru au kuwapunguzia adhabu ya kifungo cha maisha jela