Bukobawadau

PICHA ZA WANACHAMA WA LUGOYE SOCIAL CLUB KATIKA KIKAO CHA KILA MWEZI

Sehemu ya wanachama wa Lugeye Social Club
Neno Lugoye limetokana na neno la kihaya 'Olugoye Olutagutuka' ikimaanisha Kamba imara isiyokatika.
 Sehemu ya kikundi cha wanawake wa Lugoye kinachojumuisha wanawake walioolewa Ishozi, Gera na Nshunju wanaoishi Dar es Salaam ikiwa ni jumla ya akina mama 20 ingawaje hapa wapo wachache kutokana na baadhi ya wenzao kuwa na majukumu mbalimbali,nia na majukumu yao ni kusaidiana  katika shida na raha pamoja na kusaidia jamii katika kutatua matatizo mbalimbali yanayo wakumba.
 Muendelezo wa picha za Umoja wa wanawake wa Lugoye
Kulia ni Mrs Focas Lutinwa.
Akina mama hawa walianza kwa kusaidia makundi ya watu mbalimbali wenye matatizo kama vile waathirika wa Ukimwi,watoto yatima,wanane n.k hasa walioko mkoani Dar es salaam.Lakini  tangu mwaka 2010 waliona wasaidie wahitaji waliopo nyumbani na walianza kwa kutoa msaada katika shule ya sekondari ya Lugoye iliyoko kata ya Ishozi na mwaka 2011 waliweza kutoa msaada katika Dispensari ya kyelima iliyoko kata ya Ishinju
Aina mbalimbali ya vinyaji
Mdau Mbelwa na Dk Lwambuka katika moja ya picha iliyonivutia mpigaji, nisijuwe wewe mdau msomaji.
Katika hali ya utulivu kabisa anaonekana Mr. Athanas Mbelwa.


Mzee Kiiza ambaye ni mwenyekiti wa zamani wa chama hiki akipata huduma ya chakula.
Wanachama wa Lugoye wakipata huduma ya chakula.
Mwenyeji wa Kikao hiki Ndg Mberwa akipata huduma safi ya chakula.
Utaratibu wa chakula ukiendelea kwa nje
Upande wa ndani tayari wazee wanaendelea kupata chakula, pichani kulia ni Mwenyekiti wa Lugoye Eng.Elasto Machume.
 Mdau Athanas Mbelwa mmoja wa vijana ndani ya Lugoye group akipata chakula.
MDAU MSOMAJI WETU TUNAOMBA  KUTUMIA FURSA HII KUKUOMBA UJIUNGE NASI KWA KU LIKE, UKURASA WETU MPYA WA FACEBOOK  KUPITA LINK HII  KWA HABARI ZA PAPO HAPO GONGA: 


 Wadau wakipitia katiba mpya ya umoja huo.
Baada ya kupata chakula, waliendelea kufurahi kwa pamoja huku wakibadilishana mawazo, pichani kulia anaonekana Dk Lwambuka akisikiliza jambo kwa umakini.
Wakati yote yakiendelea mwenyeji wa kikao hiki  Mama Mbelwa  pichani katikati akamfanyia supplies mmoja wa wanachama ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa.
Muonekano wa Keki ya birthday kwa Bi Ivona Bushoke.
Naaam!!Bi Ivona alimlisha kiki mme wake Ndg Bushoke katika kufurahia siku yake ya kuzaliwa.
Wenyeji nao wakafanya yao kama unavyojionea pichani.
 Mdau Ben Kataruga pichani kushoto akifuatilia jambo , kulia ni rafiki yake Mdau Kamuzora ambaye pia ni rafiki wa wanalugoye.
 Dk Lwambuka na Mr Ben Kataruga
Mr Ben Kataruga kushoto na Mr Kamuzora ambaye ni rafiki wa wanalugoye
Mwenyekiti wa Lugoye Group akiteta jambo na Ndg Bushoke.

TIMU NZIMA YA BUKOBAWADAU BLOG TUNAWAOMBAWADAU WASOMAJI POPOTE PALE TUPATE FURSA  KWA KUSHIRIKISHWA KATIKA SHUGHULI YOYOTE ILE KWA KUPEANA TAARIFA TUWASILIANE KUPITIA 0715 505043,0784 505045 0713 397241 NA EMAIL bukobawadau@gmail .com
Next Post Previous Post
Bukobawadau