Bukobawadau

R.I.P.MZEE WETU MWALIMU ELIYA LWAKATARE BABA MZAZI WA WILFRED LWAKATARE

Picha ya Marehemu Mzee Eliya Lwakatare
Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare anasikitika kutangaza kifao cha Baba yake Mzazi Mzee Elias Lwakatare, aliyekuwa Mwalimu kwenye shule mbali mbali za Bukoba kuanzia miaka ya 30. Marehemu anakisiwa kuwa na miaka zaidi ya 100. Mipango ya Mazishi inaendelea jijini Dar es salaam alikofia Marehemu, na Jumatatu mwili wa Marehemu utasafirishwa kwenda Bukoba kwa Maziko.
BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA NDUGU NA JAMAA WOTE WALIOFIKWA NA MSIBA HUU!!


Next Post Previous Post
Bukobawadau