TASWIRA HARUSI YA MDAU JUVENALIS MKULASI NA BI VIVIAN SILAYO
Mdau Juvenalis Mkulasi wa kitendaguro Bukoba na Bi Vivian Silayo
Bi harusi wetu Bi Vivian Silayo na Bwana harusi Bw Juvenaris Mkulasi.
Baada ya ndoa takatifu iliyofungwa ndani ya Kanisa la St. Martha Mikocheni jijini Dar es salaam,shughuli iliendelea usiku katika ukumbi wa Beach Komva.
Bi Vivian Silayo katika tabasamu tamu .
Hivi ndvyo mambo yalivyokuwa ukumbini.
Bukobawadau Blog tunatoa hongera kwa maharusi hawa