TASWIRA MJI WA BUKOBA LEO NOV 14,2013
Muonekano wa Jengo la Njwelige lililopo katikati Manispaa ya Mji wa Bukoba
Muendelezo wa picha zikionyesha mitaa mbalimbali mjini hapa.
Dukani kwa kijana mpambanaji Donasco Kilaja.
Mdau DS katika pozi.
Muonekana wa Milima ya Kibeta kuanzia usawa wa barabara ya Kachuko.
Mdau Ray wa Chelsea Auto Spare akiwajibika ofisini kwake.
Mdau Alex
Sehemu ya wadau ndani ya Chelsea Auto Spare.
Jengo la chuo cha mafunzo wa Udreva chini ya Kolping lililopo Miembeni Bukoba
Mitaa ya Miembeni yetu,salaam kwa Mh Richard (diwani) wadau wanaomba tupate walau kipande cha rami.