WADAU USO KWA USO NA CAMERA YETU MTAANI LEO JUMAMOSI NOV 30,2013
Mitaa ya Migeyo, dukani kwa Bi Sharifa tunakutana na mdogo mtu kijana Mkusini pichani akicheck na jicho la camera yetu.
Vijana pichani ni Ash K Bin Amar mtoto wa Mzee Hamasha kashai halisi akitabasamu na kijana mwenzie Mdau Amirary.
Amirary Ashenabs akitabasamu mbele ya Camera yetu hii leo jumamosi nov 30, 2013.
Watoto wakicheck na Camera yetu ,hawa ni wajukuu wa Marehemu Shinani Kabendera.
Vituko vya Rama Kachaa, kila nikikutana nae nipige picha ndio nyingi.
Mdau Mapondo kushoto na Ndg Mugakamuya.
Akiwakilisha pande za Kyaka ni Mdau Mugakamuya akicheck na Camera yetu
Bango la ofisi za Cosad Center Bukoba.
Kijana Benny Bennisho akiwajibika.
Maisha yakiendelea ndani ya Oxygen Bar& Lounge.
Mdau Basibila uso kwa uso na Camera yetu
Asiye na zogo wala kokoro na mtu pichani ni Ndg Eugen Kabendera.