Bukobawadau

CHECK MAKING VIDEO YA TANGAZO LA MARUKU BEACH PARTY ITAKAYOFANYIKA SIKU YA MWAKA MPYA 1/1/2014

 Hizi ni baadhi ya picha katika utengenezaji wa video ya tangazo la Maruku Beach Party itakayo fanyika pande za Maruku Beach siku ya mwaka mpya 1/1/2014,Video hii imefanyika siku mbili tofauti na sehemu mbalimbali.
Sehemu ya kwanza ya utengenezaji wa Video hii ni pale Kiroyera Beach maarufu kama mchangani.
Utengenezaji wa  Video ukiendelea.
Check madoo na mabrother men walivyo pendeza.
Wamjini utawajua tu....!
 ViM Production chini ya Directer Gody Mwemwezi ndio watengenezaji wa video hiyo.
 Mdau Mr Mganyizi mmoja wa wadhamini wa Beach Party akicheck kinacho endelea, kulia ni Ndg Yusuph Wastara mwakiliishi wa Linas Night Club ambao ndio waandaaji wa shangwe hizi.
 Mkurugenzi wa Zachwa Investment Ndg Mganyizi akiongea kuhusu udhamini wake.
 Habari kubwa mjini hapa ni mambo ya Beach Party, wadau mnakaribishwa mpate kipupwe cha Ziwa Victoria kutoka usawa wa Maruku huku mkipata muziki safi chini ya Madj wakali!
Kutakuwa na bonge la show kutoka kwa Wasanii  wa Mjini Bukoba na wale wa Vioo vikuu vya hapa.
 Kikubwa ni kujipanga kwani SHANGWE hizi ni kuanzia asubuhi ya saa 4 mpaka kucheeee!!
Mambo ndivyo yalivyo katika harakati za utengenezaji wa Video hiyo
Mtoto mzuri alivyotulia  huku akiwa amezungukwa na ma brother men!
 Zachwe Investment,Bukobawadau Blog ,Mega Mix kutoka mwanza, Manyema Cafe, Linas Night Club na Nice &Lovely Saloo ni sehemu wadhamini.
Pichani anaonekana mwanadada akiwa anabembea   akiwa katika harakati za utengenezaji wa Video husika
 Naaam Dj Hannaf naye atakuwepo katika maswala yale ya mikuno.
 Mc Ansy kutoka SAUT na Mc  Josh wa JOCUCO
 Mc Josh kutoka chuo cha Jucuco akifanya yake
 Mambo yamepangwa yakapangika, huu ni utengenezaji wa tangazo tu , utamu wenyewe ni siku ya shughuli yemyewe, siku ya mwaka mpya!!!!
 Matukio yote utaendelea kuyapata kupitia bukobawadau,BLOG mama katika ukanda huu katika hilo tunaamini hapana ubishi!
Sehemu ya Watoto wakali na mabrother kaka waliofika kushow love katika utengenezaji wa Video ya tangazo la Maruku  Beach party iliyo andaliwa na Linas Night Club.
HII SI YA KUKOSA  KABISA JAMAA INAONYESHA WALIVYO JIPANGA VYEMA ,USAFIRI  KWA WALE WENZANGU SIKU HIYO UNAPATIKANA PALE LINAS NIGHT CLUB
 BUKOBAWADAU BLOG Tunawatakieni heri ya CHRISMAS na fanaka ya MWAKA MPYA 22014, Mungu atusaidie tuendeleze libeneke hili na tuendelee kulijenga vyema Taifa letu.!!!



Next Post Previous Post
Bukobawadau