CHECK TASWIRA YA HARUSI YA MARTIN &JANE MALINGA
Sehemu ya matukio katika usiku mwanzo wa harusi unaoashiria kuanza kwa maisha shirika baina ya Ndg Martin na Bi Jane
Naaam!! hakika tumeweza kuona na kusherekea maharusi mengi lakini katika hii ni kama Mwenyezi Mungu anadhihirisha kwa namna ya waziwazi,kwanza check furaha waliyonayo Martin na Bi Jane ukweli ni kwamba utakubaliana na maneno yangu!!
Ndani ya nyeusi na nyeupe muonekano wa Maharusi wakiwa wamepozi kwa picha ya pamoja
Naaam!! hakika tumeweza kuona na kusherekea maharusi mengi lakini katika hii ni kama Mwenyezi Mungu anadhihirisha kwa namna ya waziwazi,kwanza check furaha waliyonayo Martin na Bi Jane ukweli ni kwamba utakubaliana na maneno yangu!!
Hivi ndivyo Mc Jackson Zachary akiwa kajipanga vyema kuakikisha hakialibiki kitu.
Maharusi na wapambe wao walivyopendeza.Ndani ya nyeusi na nyeupe muonekano wa Maharusi wakiwa wamepozi kwa picha ya pamoja