HIZI NDIZO PICHA JINSI NDEGE YA ETHIOPIA AIRLINE ILIVYOCHIMBA UWANJA WA NDEGE ARUSHA BAADA YA KUTUA GHAFLA
Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege
ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje
ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha baada ya kutua kwa dharura.Ndege
aina ya Boeing 767 inayosadikiwa kuwa ni ya Shirika la Ndege la Ethiopia
imetua kwa dharura majira ya saa tisa alasiri katika kiwanja cha
kurushia ndege ndogo cha Arusha badala ya kiwanja cha ndege cha
Kimataifa cha Kilimanjaro
Hivi ndivyo jinsi ndege ya ethiopia airline ilivyochimba uwanja wa ndege arusha baada ya kutua ghafla
Hivi ndivyo jinsi ndege ya ethiopia airline ilivyochimba uwanja wa ndege arusha baada ya kutua ghafla