MAFUNZO JUU YA MRADI WA KUIJENGEA JAMII UWEZO WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA KWA MIKOA ILIYOATHIRIKA ZAIDI NA UKAME YAFUNGWA
Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Magreth
Sembuyegi akiwasilisha mada juu ya Ushirikishwaji wa Jamii katika Miradi ya
Maendeleo, katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Same, Kilimanjaro jana.
Mwenyekiti wa Kikundi cha PAPA Bw. Daudi Mpombe (Kushoto) na
Mwenyekiti wa Kikundi cha MWALA Kata ya
Vunta Bw. Jonathan wakiandika
masuala yaliyokuwa yakiwasilishwa na Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.
Magreth Sembuyegi (hayupo pichani) jana katika
Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Same, Kilimanjaro.
Mkuu wa Wilaya ya Same Bw. Herman Kapufi (mwenye
Suti) akiagana na Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.
Harrison Chinyuka mara baada ya kufunga mafunzo ya Kuijengea Jamii Uwezo Wa
Kupunguza Athari Za Maafa Kwa Mikoa Iliyoathirika Zaidi Na Ukame jana katika
Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Same, Kilimanjaro (Picha zote na Ofisi ya
Waziri Mkuu)