MATUKIO YA BUKOBA VETERAN KATIKA BONANZA LA KUFUNGA MWAKA CHINI YA UDHAMINI WA TBL DEC 1,2013
Lile Bonanza la kufunga mwaka 2013 la Bukoba Veteran wakidhamini na Tbl lililofanya siku ya jana Jumapili Nov 1,2013 nakufana ile mbaya, bonanza lilianzia uwanja wa Kaitaba kwa mechi tatu tofauti na badae shangwe ziliweza kuendelea maeneo fukwe za Kiroyera Beach.
Mchezo wa kwanza ikiwa kati ya timu ya Banana na Kahawa kama mtiririko wa matukio ulivyo pichani
Muonekano wa wachezaji wa Banana wakiwa tayari kwa mtanange
Wachezaji wakisalimiana.
Kikosi cha wachezaji wa kahawa kikikaguliwa
Makaptain wa timu zote mbili wakiongea na muamuzi wa mchezo huo Dada Kage.
Mtanange ukiendelea
Bingwa ilibidi apatikane kwa njia ya matuta, anaonekana Kaka Mkuu akiwa amemuamisha kipa ile mbaya na kuandika bao la kwanza kwa timu ya Banana
Mchezaji Rajab Pauline kama ilivyo historia yake, amekosa penati ya mwisho na kupelekea ushindi kwa timu ya Banana
Mpaka mapumziko ni draw ya bila bila,pichani anaonekana Mwalimu George akitoa maelezo kwa vijana wake
Taswira upande wa wanamama wa Bukoba Veteran.
Upande wa pili wanamama wa Bukoba Veterans nao shughuli ilikuwa pevu.
Mikiki mikiki kabla ya mchuano kuanza.
Mpambano wa wao kwa wao hakika kina dada walionesha uwezo mkubwa.
Baada ya Kaitaba sasa maisha ya binanza yakaamia katika fukwe za Kiroyera Beach.
Mzee Lwiza na Mzee Rutamingwa wazee wa Bukoba Veteran wakiteta jambo.
Mdau Sued Juma Sued Kagasheki naye ndani ya bonanza
Mdau Self Super Mkude.
Sehemu ya vijana walioalikwa kushiriki na wakubwa zao.
Huduma ya kinywaji ikiendelea
Kiongozi kutoka Wizara ya michezo na utamaduni na afisa utamaduni Wilaya nao walikuwepo
Anaonekana Ndg Mwinyi ambaye ni Captain na kiongozi makini wa Bukoba Veteran
Kaka mkuu akiweka usawa katika huduma ya vinjwaji.
Huduma ya msosi papo hapo.
Ustaadh akisikilizia kwa mbali.