MKURUGENZI WA KAMPUNI YA MABIBO BEER WINES & SPIRITS LTD AND SPIRITS LTD MZEE JAMES RUGEMALIRA USO KWA USO NA BUKOBAWADAU
Mchana wa leo jumamosi dec 14,2013 camera yetu ikiangaza maeneo ya New Coffee tree hotel iliyopo ndani ya manispaa ya mji wa Bukoba na kukutana na wadau wa Windhoek Lager, katika mikakati yao ya masoko kwa wadau wanaohitaji kufanya biashara ya Windhoek kwa njia ya halali
Mshauri wa Biashara wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits LTD ,Mzee James Rugemarila (kushoto) mara alipokutana na mwanalibeneke wa bukobawadau blog, wakati wakifanya mikakati mbalimbali ya masoko na mbinu za kupambana na wanauza windhoek kimagendo,kulia kwake ni Mshauri wa Sheria wa kampuni hiyo, Respicius Didace.
Mdau Mc baraka katika picha ya pamoja na ndg Kelvin wa Mabibo Beer.
Wadau wanaondeleza mikakati wakiongozana na Mkurugenzi wa Mabibo Beer Mzee James Rugemalira, wa pili kutoka kushoto ni mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Salum Mkambala.
Muonekano wa chupa yaWindhoek halisi inayosambazwa na kampuni ya Mabibo Beer wines & Spirits Ltd.
Pichani ni Ndg Kelvin na Ndg Mzava wao ni wafanyakazi wa Kampuni ya Mabibo beer and spirits Ltd wakifurahia bia halisi ya Windhoek ndani ya Club Linas.
Nje ya maegesho Camera yetu inakutana na Ndg Hassan ambaye ni dereva wa Kampuni ya Mabibo Beer wines & Spirits LTD.