Bukobawadau

MKUU WA MKOA WA KAGERA KANAL MASSAWE AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANZANIA BARA,KWA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA UPANDAJI WA MITI BUKOBA.

 Maadhimisho hayo yamefanyika leo ndani ya Manispaa ya Bukoba, yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kagera Mh.Fabian Massawe,kwa kufanya matembezi ya kuhimiza utunzaji wa mazingira kwa kupanda miti na kutilia mkazo katika swala la usafi ndani ya manispaa ya Bukoba.

 Mkuu wa mkoa wa Kagera kanal Fabian Massawe akiendeleza matembezi na wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

Pambana Mh. Massawe kwani uchafu Uchafu si swala la Kukosa Ustaarabu tu bali pia nia angamizo la Mazingira Yetu!
Bukobawadau Blog tunatoa pongezi kwa Mh. Massawe kwa kuhamasisha  usafi kivitendo kwa kushiriki katika zoezi hilo kwa kila siku ya alhamisi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau