NATURE, MZEE YUSUF, TUNDA MAN, KHADIJA KOPA, SNURA, KR, BAMBO WAWASHA MOTO SHOO YA SAYONA TWIST DAR LIVE
Tunda Man akipeana ‘hi’ na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
Juma Nature (kushoto), KR (katikati) na Tunda Man wakipozi katika picha ya pamoja.
WASANII Juma Nature, Tunda Man, Snura, Mzee Yusuf, Malkia wa Mipasho Khadija Kopa, Bambo, JB 'Mkuu wa Majaji', usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, Dar waliwasha moto katika shoo ya Sayona Twist.Juma Nature (kushoto), KR (katikati) na Tunda Man wakipozi katika picha ya pamoja.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL)