OFISI YA WAZIRI MKUU YAZINDUA MPANGO WA KUJIANDAA KUKABILI MAAFA MKOANI SHINYANGA
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mh.
Ally Nassoro Rufunga akisisitiza juu ya utekelezaji wa Mpango wa Kujiandaa
kukabili Maafa Mkoani Shinyanga wakati alikiuzindua mpango huo leo Mjini
Shinyanga kushoto ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Ofisi ya Waziri Mkuu Lut Jen (Mst) Sylivester Rioba.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mh.
Ally Nassoro Rufunga akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Bi. Annarose
Nyambi Mpango wa Kujiandaa kukabili Maafa Wilayani Shinyanga baada ya uzinduzi
wa mpango huo leo Mjini Shinyanga kushoto .
Baadhi ya wajumbe kutoka
Wilaya za mkoa wa Shinyanga wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga Mh. Ally Nassoro Rufunga(wa pili kushoto), baada ya uzinduzi wa Mpango wa Kujiandaa kukabili
Maafa Mkoani Shinyanga leo, (wa
tatu kushoto) ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Ofisi ya Waziri Mkuu, Lut Jen (Mst) Sylivester Rioba.