OFISI YA WAZIRI MKUU YAZINDUA MRADI WA KUIJENGEA JAMII UWEZO WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME –SHINYANGA, KISHAPU
Wajumbe kutoka
Wilayani Kishapu wa kiwa katika picha ya
pamoja na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kishapu (wa tatu kuahoto ) mara baada kuzinduA rasmi Mradiwa Kuijengea Jamii Uwezo Wa Kupunguza Athari Za
Maafa Kwa Mikoa Iliyoathirika Zaidi Na Ukame jana katika Ukumbi wa Mikutano wa
Halmashauri ya Kiahapu, Shinyanga (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa - Ofisi ya Waziri
Mkuu Luteni Jenerali (mstaafu) Sylvester Rioba akieleza umuhimu wa Mradi wa Kuijengea Jamii Uwezo Wa Kupunguza
Athari Za Maafa Kwa Mikoa Iliyoathirika Zaidi Na Ukame wakati wa Uzinduzi wa
Mradi huo kwa Wilaya ya Kishapu, Shinyanga, leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Kishapu.
Katibu wa kikundi cha UPENDO Bi.Maria Joseph akikagua
makaburasha yake wakati uzinduzi wa Mradi wa Kuijengea Jamii Uwezo Wa
Kupunguza Athari Za Maafa Kwa Mikoa Iliyoathirika Zaidi Na Ukame wakati wa
Uzinduzi wa Mradi huo kwa Mkoa wa Shinyanga, Kishapu leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Kishapu.